Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

KALI YA SIKU: Swali lililozua mzozo Bungeni leo

on

May 14, 2018 mkutano wa Bunge la kumi na moja umeendelea Dodoma ambapo kazi ilianza kwa kipindi cha maswali na majibu kama kawaida lakini kubwa zaidi ni pale ilipofikia katika swali la Mbunge wa Viti maalum CHADEMA Jesca Kishoa ambaye hakuwepo na swali lake likatakiwa liulizwa na Mbunge mwingine jambo lililopelekea mvutano wa nani anastahili kuuliza swali hilo kwa niaba.

Full video ya kilichoendelea nimekuwekea hapa chini tayari……

Mwandishi wa Habari asimulia alivyotekwa na wafanyakazi wa Ofisi ya RC Arusha

Soma na hizi

Tupia Comments