MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Majambazi wenye Silaha wamevamia kituo cha mafuta na kupora fedha

on

Leo April 16, 2018 stor ninayokusogezea ni kuhusu Majambazi wapatao wanne wakiwa wamevalia makoti meusi na silaha za Moto wamevamia kituo cha Mafuta cha Manjis cha jijini Arusha na kufanikiwa kupora kiasi cha Milioni 2 fedha za mauzo. 

Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Yusufu Ilembo amesema kuwa   majambazi hao walifika eneo la tukio wakitembea kwa miguu na kuwalazimisha wafanyakazi waliokuwepo katika kituo hicho kulala chini huku wakifyatua risasi mbili hewani na kuelekea ndani ya ofisi zinapohifadhiwa fedha.

DAR ES SALAAM KWA JUU BAADA YA MVUA KUBWA

Soma na hizi

Tupia Comments