Tangaza Hapa Ad

Video iliyomnasa Papii Kocha akiperfom ukumbini


Ni mwezi mmoja umetimia tokea Papii Kocha na baba yake Babu Seya kuachiwa huru kwa msamaha wa President JPM katika maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania December 9,2017.

Nyota yao inazidi kung’aa pamoja na kuwa bado hawajatoa ngoma mpya lakini Papii Kocha ameonekana kupata dili la kuimba kwenye harusi tumeinasa video clip katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha akifanya hivyo katika harusi.

FULLVIDEO: Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia studio, Wazungumza haya

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement