Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Wasichana watatu wamebakwa na kuteketezwa

on

Leo May 14, 2018 Taarifa kutoka kwa maafisa wa polisi wa India, zinazasema kwamba chini ya kipindi cha wiki moja, wasichana watatu wenye umri wa chini ya miaka 16, walibakwa na kuteketezwa.

Wasichana wawili walifariki huku yule wa tatu akipona akiwa na majeraha makubwa.

Msichana wa tatu alifariki siku ya Alhamisi baada ya kubakwa na kuwatisha waliombaka kuwa angewaripoti kwa maafisa wa usalama, kabla ya watuhumiwa hao kumteketeza.

Maafisa wa polisi wamewakamata wanaume wawili kuhusiana na visa hivyo, mmoja akiwa ni ndugu wa muathiriwa mmoja.

Serikali iliidhinisha mahakama kutoa hukumu ya kifo kwa wabakaji wa watoto bila rufaa na kutaka mahakama hizo kufuatilia kesi za nyuma za unyanyasaji wa ngono wa wasichana wa chiniya umri wa miaka 16 na kutoa hukumu.

LIVE MAGAZETI: Zengwe laibuka CCM, Polisi atekwa na wasiojulikana

Soma na hizi

Tupia Comments