Dec 29, 2018 kulikuwa na show ya msanii wa Bongo Fleva , Alikiba iitwayo Funga Mwaka na King Kiba miongoni waliopita kwenye redcarpet ni msanii kutoka filamu Esha Buheti ambaye alikutana na waandishi wa habari na kuzungumza mimba ya mke wa Alikiba.
Esha Buheti kafunguka kuhusu mke wa Alikiba na DC Jokate Mwegelo
Leave a comment
Leave a comment