Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Victoria Kimani katuletea hii video yake mpya

on

Staa Victoria Kimani amerudi kwenye headlines za burudani 2016 ambapo October 8, 2016 kaachia hii video mpya ya single yake iitwayo ‘My Money’.

Ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIKOSA KUONA MDUNDO WA BARAKA NA ALIKIBA NISAMEHE ULIVYOKUWA UNATENGENEZWA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement