Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: RC Makonda alivyoamuru Wenyeviti watano kuchukuliwa na polisi katikati ya mkutano

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda November 28 2016 alimaliza ziara ya Dar Mpya ambayo alizunguka maeneo tofauti ya jiji la Dar es salaam kwa siku 10 kusikiliza na kutoa majibu ya kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

Akiwa kwenye mkutano wa  mwisho Mwabepande suala kubwa lililojitokeza ni kuhusu utapeli wa viwanja, wananchi walilalamikia kutapeliwa viwanja wakati walivyouziwa kulikuwa na baraka zote kutoka kwa wenyeviti wa mtaa. Baada ya tuhuma hizo kutolewa wananchi waliwataja wenyeviti walioshiriki kuuza viwanja kitapeli na RC Makonda akaamuru wachukuliwe na polisi  kwa hatua zaidi. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

VIDEO: Mwenyekiti alivyoibuka mkutanoni DarMPYA kujibu tuhuma za kumtaka kimapenzi mwanamke, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: RC Makonda alivyomaliza mvutano wa uwepo mnada soko la Kawe, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement