Tangaza Hapa Ad

Rapper wa Marekani amehukumiwa miaka miwili jela


Rapper Meek Mill kutokea nchini Marekani  amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukiuka adhabu ya kwanza aliyopewa na mahakama ya kuwa chini ya uangalizi wa polisi yaani probation kwenye kesi yake ya mwaka 2008 baada ya kukutwa na hatia ya dawa za kulevya pamoja na kumiliki silaha kinyume na sheria.

Kwenye adhabu hiyo ya kwanza Meek Mill alitakiwa na mahakama kuhudhuria vipimo vya matumizi ya dawa za kulevya kila baada ya muda pamoja na kutoruhusiwa kusafiri nje New York mambo ambayo hakuyatimiza na kumsababishia hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela.

“Achana naye kama hatoi matumizi ya mtoto” -ZARI

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement