Habari za Mastaa

Baada ya Aslay kuachana na mama mtoto wake huyu ndo mpenzi wake mpya?

on

Muimbaji Aslay ambaye amechana na mama mtoto wake Tessy ambaye walizaa naye mtoto mmoja walie mpa jina la Moza licha ya kwamba Aslay amekuwa mgumu kulizungumzia hilo ila AyoTv na millardayo.com hivi karibuni ilifanya mazungumzo na Tessy ambaye alithibitisha kuachana huko.

Sasa leo June 20, 2018 Aslay ameibua gumzo tena kuhusu mahusiano yake mapya ambapo amempost mwanamke mwingine na kuandika camption zilizo acha maswali je huwenda huyu ndiyo mrithi wa Tessy yani huyu ndo mpenzi mpya wa Aslay..?

Aslay ameweka post mbili tofauti kwenye Instagram yake ambapo ya kwanza aliweka picha ya mwanamke huyo na kuandika..>>>”Maaaaaashallah” – Aslay

 

Asa ndo nn mke wng

A post shared by Aslay (@aslayisihaka) on

Mwijaku kafunguka “Dogo Janja hana sauti kwa Uwoya, Shamsa Ford ni mnafiki”

Soma na hizi

Tupia Comments