Video Mpya

VideoMPYA: Wakali kutokea +254 Sauti Sol wanatualika kuitazama ‘Short and Sweet’

on

Karibu kuipokea hii mpya kutoka kwa wakali wa +254 Kenya, Sauti Sol wimbo unaitwa “Short and Sweet” wamemshirikisha mkali Nyashinski kutokea Kenya. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.

EXCLUSIVE: Mo J kazungumza kutokumpa hela Gigy “Sikatai kuna muda unakosa pesa”

MO J KASEMA: Familia ya Gigy wanampa mwanaume mwingine mtoto sababu ya hela

Soma na hizi

Tupia Comments