Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Rais JPM: “Kama Aga Khan imesamehewa kodi, mbona gharama za huduma bado ziko juu?”

on

Rais John Magufuli leo October 11, 2017 amekutana na Kiongozi wa Jumuiya ya Ismailia Mtukufu Karim Al-Hussaini Aga Khan ambaye amesema Jumuiya hiyo imedhamiria kuunga mkono juhudi za serikali katika kuboresha huduma za afya na elimu nchini.

Ameeleza kuwa Jumuiya hiyo imejipanga kupanua hospitali ya Aga Khan iliyopo Jijini Dar es Salaam na kujenga chuo kikuu kikubwa katika Afrika Mashariki, Mkoani Arusha.

“Kwa sasa wanafanya upanuzi katika hospitali ya Aga Khan, ilikua na vitanda 74 na idadi hii taongezeka hadi vitanda 172 na hii kazi itakamilika ndani ya miezi sita ijayo, pia chuo kitakachojengwa Arusha kitakamilika ndani ya miezi ujenzi utakua umekwisha anza.” – JPM

Umepitwa na hii? “Sikuja kuuza sura nilipendwa na mke wangu inatosha”- Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement