Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

“Dira yetu ni uchumi wa viwanda, Wabunge watafute namna bora” –Mbunge Bashungwa

on

Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa ni moja ya wabunge walioudhuria kuapishwa kwa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki jijini Arusha December 18, 2017

Bashungwa amesema Watanzania wanayo matumaini makubwa kwa Wabunge tisa wanaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki hasa katika kuweka mbele maslahi ya Taifa na kutekeleza sera ya mambo ya nje ya nchi.

“Watanzania tunategemea Wabunge wetu kuweka maslahi ya Taifa mbele, matumaini ya Watanznaia ni kuona Wabunge hawa tisa wanatumia hii nafasi  kuwezesha kufikia uchumi wa viwanda,” – Bashungwa

ALIYOYASEMA GAVANA WA NAIROBI MIKE SONKO ALIVYOINGIA TANZNIA, BONYEZA PLAYA KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments