PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

HEKAHEKA: Watu wamechanganya Makaburi, Ugomvi umezuka

on

Hekaheka ya leo February 19, 2018 Mtangazaji Geah Habibu katuletea hii iliyotokea makaburi ya Mburahati DSM ambapo ndugu wamechanganya makaburi ya kuzikia kitu kilichozua Hekaheka kwa ndugu hao kwa kugombea kaburi mpaka Polisi kuingilia kati.

Mmoja wa mwanamke ambaye ni mfiwa ameeleza kuwa kulikuwa na Misiba minne ambapo misiba mitatu imesaliwa kanisani na mmoja umesaliwa nyumbani, msiba uliosaliwa nyumbani uliwahi kwenda kuzikwa ndipo wakazika kwenye kaburi la wenzao kitu kilichosababisha wenye kaburi kutaka sehemu yao ili wazike kitu kilichosababisha mzozo.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY..

“Mtulia asipotimiza aliyoahidi, Kinondoni inaweza kujiendesha” – Steve Nyerere

Soma na hizi

Tupia Comments