Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Sholo Mwamba alivyoipokea timu ya KMC leo kwa ajili ya VPL 2018/19

on

Club ya Kinondoni Municipal Council (KMC) leo February 10 2018 ilitambulishwa rasmi kwa wananchi wa Kinondoni na kukabidhiwa kwao kwa ajili ya kuisapoti, ikiwa ni siku chache zimepita toka timu hiyo ifanikiwe kupanda kucheza Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2018/2019, msanii wa Kisingeli Sholo Mwamba alikuwa sehemu ya waliosherehehesha katika shughuli hiyo.

VIDEO: Goli la Juma Mahadhi lililoikosoa Yanga vs St Louis uwanja wa Taifa

Soma na hizi

Tupia Comments