Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

BREAKING: Aishi Manula wa Simba SC ateguka Djbout

on

Ni siku moja imepita toka club ya wekundu wa Msimbazi Simba iwasili nchini Djbout kwa ajili ya marudiano ya mchezo wao wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Gendermarie ya Djbout ambao utachezwa kesho February 20.

Kuelekea mchezo huo utakaochezwa kesho huku Simba akiwa ana akiba ya ushindi wa magoli 4-0 waliyoupata katika mchezo wa kwanza uliyochezwa Dar es Salaam, leo walifanya mazoezi katika uwanja ambao kesho utachezewa game.

Taarifa kutoka Djbout zilizoripotiwa na muandishi wa habari za michezo Shaffih Dauda ni kuwa golikipa namba moja wa Simba Aishi Manula ameteguka mkono wakati wakifanya mazoezi ya mwisho leo kuelekea mchezo huo millardayo.com inafuatilia kwa kina taarifa hizi.

Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid wakiwa na wake zao

Soma na hizi

Tupia Comments