AyoTV

VideoMAGOLI: Magoli ya Township Rollers vs Yanga yaliothibitisha ubora wa Township

on

Yanga wakiwa nyumbani wamejikuta wakikubali kipigo cha magoli 2-1, hivyo wameweka rehani nafasi yao ya kufuzu kucheza hatua ya makundi ya michuano ya club Bingwa Afrika, magoli ya Township yalifungwa na Lemponye dakika ya 11 na Sikele dakika ya 83 wakati goli pekee la Yanga likifungwa na Obrey Chirwa dakika ya 30.

VIDEO: Naibu waziri alivyoeleza sababu za kumfungia Roma na kumpa onyo Nay wa Mitego

Soma na hizi

Tupia Comments