Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 3: Coutinho alivyonaswa akielekea Barcelona

on

Baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya FC Barcelona na club ya Liverpool ambao ndio wamiliki halali wa mchezaji Philippe Coutinho raia wa Brazil, leo January 6 2018 wamefikia makubaliano ya kuuziana staa huyo.

Liverpool na Barcelona zimefikia makubaliano ya kuuziana Philippe Coutinho kwa dau linalotajwa kuwa kati ya pound milioni 142 hadi 145, hivyo Barcelona wanategemea kutangaza kukamilisha usajili wa Coutinho muda wowote usiku huu wa January 6 2018.

Hizi ni baadhi ya picha za Coutinho alivyoonekana London akielekea Barcelona kukamilisha usajili wake Jumamosi ya leo January 6 2018.

George Weah amemtumia mualiko kocha Arsene Wenger

Soma na hizi

Tupia Comments