AyoTV

Jina na idadi ya nyimbo zitakozokuwa katika album mpya ya Rose Muhando April 1

on

Muimbaji wa gospel Rose Muhando wote tunafahamu kuwa alikuwa kimya kwa zaidi ya miaka mitano sasa bila ya kutoa album yoyote tofauti na miaka ya nyuma, kitu ambacho kilipelekea mashabiki wake kumiss album ya nyimbo zake sokoni baada ya kimya hicho.

Leo limetajwa jina la Album mpya ya Rose Muhando ambayo itafanyiwa uzinduzi katika sikuku ya Pasaka April 1 2018 katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na April 2 2018 Simiyu, Album mpya ya Rose Muhando inaitwa “Usivunjike Moyo” na itakuwa na nyimbo saba.

Mwingine aliyethibitisha kupanda kwenye stage na Rose Muhando baada ya Danny M

Soma na hizi

Tupia Comments