Tangaza Hapa Ad

Mix

HEKAHEKA: Utani wa wajukuu msibani wazua balaa Temeke

on

October 24, 2016 Kupitia Leo Tena ya Clouds FM  Gheah Habib ametulete hii Hekaheka iliyotokekea Temeke Dar es salaam hi ni baada ya wake wa marehemu kunyweshwa maji ya Mapovu ya sabuni, wakidanganywa ni uji wa kupunguza uchungu wa kufiwa, millardayo.com imekusogezea full stori

Tukio hili limetokea siku ya mazishi ambapo inaelezwa kuwa marehemu aliyekufa ameacha wake watatu, inavyosemekana ni kuwa wajukuu wa marehemu walikoroga maji na sabuni ya unga na kuwapelekea wake wa marehemu na kuwaambia kuwa amkeni tumewaletea uji wa uchungu.

Sisi hatujaingia ndani tumekaa tu kwa nje baada ya kutolewa kwa jeneza tulikuwa tumekaa kwa mbali ndio tukaona kwenye nyumba ya msiba watu wanapigana kuna vurugu, unajua hili tukio la hawa wake wa marehemu kulishwa maji ya mapovu wamefanya (Vizuka) wajukuu wa marehemu wamefanya kama utani kuwapelekea bibi zao maji ya mapovu baada ya uji wa uchungu‘>>>Jirani

Nimmekuwekea hapa full stori kutoks kwenye Hekaheka ya October 24 2016

ULIMISS HIZI SABABU ZA MTU CHEE KUTOZIACHIA PROJECT ZAO WALIZOFANYA NA YOUNG DEE ITAZAEE HII VIDEO HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement