Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

MOBETTO: “Nimeviona vya Diamond kuliko yeyote”

on

Mrembo Hamisa Mobetto usiku wa October 13 2017 alifanya Party ya mtoto wake ambae amezaa na Mwimbaji Diamond Platnumz ambapo kwenye hiyohiyo party Hamisa alikubali kuhojiwa na Soudy Brown na kujibu maswali mbalimbali.

Miongoni mwa maswali aliyoyajibu ni kama anamchukia Zari ambapo alisema hamchukii na wala haoni kama chuki zinasaidia, anatambua kwamba watoto wao ni ndugu ambapo pamoja na yote wanayopitia kama Wazazi anaamini kuna siku watapatana.

Mengine yote aliyosema Hamisa yako kwenye hizi video hapa chini unaweza kujionea mwanzo mwisho na party ilivyokwenda.

Simchukii Zari, watoto wetu ni ndugu” TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI HAMISA AKIONGEA MWENYEWE

HAMISA MOBETTO ALIVYOHOJIWA KUHUSU UTATA WA JINA LA MTOTO.…. Tazama kwenye hii video hapa chini

HAMISA MOBETTO AKICHEZA NANI KAMA MAMA…. TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

HAMISA MOBETTO ALIVYOINGIA KWENYE PARTY…. TAZAMA HAPA CHINI

PARTY YA HAMISA MOBETTO: Gigy Money, Isha Mashauzi na Team Hamisa kwenye hii video hapa chini

FULL VIDEO: PARTY YA MTOTO WA HAMISA MOBETTO NA DIAMOND 2017

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement