Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Mobetto kafunguka “kuhusu Lulu…. akiwa na Baba Mtoto wangu” (video)

on

Mrembo Hamisa Mobetto amezungumza kuhusu Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyehukumiwa wiki iliyopita kwenda jela miaka miwili kutokana na kusababisha bila kukusudia kifo cha Mwigizaji Kanumba.

Hamisa na Lulu wamekua kwenye headlines wakitajwa kutopatana kutokana na Lulu kuwa mpenzi wa sasa wa Majizzo ambae ni Mzazi mwenzake na Hamisa ambae wana mtoto mmoja pamoja, kwenye hii video hapa chini Hamisa amezungumzia yote ikiwemo uhusiano wake na Lulu.

VIDEO: HAMISA MOBETTO KUKUTANA NA DIAMOND DUBAI, “DIAMOND NI MZAZI MWENZANGU”

VIDEO: MWANZO MWISHO: PARTY YA MTOTO WA HAMISA MOBETTO ITAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement