Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la Juma Mahadhi lililoikosoa Yanga vs St Louis uwanja wa Taifa

on

Club ya Yanga leo imecheza mchezo wake wa kwanza wa round ya kwanza wa club Bingwa Afrika dhidi ya St Louis ya Ushelisheli uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Yanga wamefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Juma Mahadhi dakika ya 67 ikiwa ni dakika moja imepita toka aingie akitokea benchi.

VIDEO: Simba imetangaza kumpeleka Haruna Niyonzima India

Soma na hizi

Tupia Comments