Habari za Mastaa

Mzee wa ‘Konki Liquid,Konki Fire’ afika Nigeria (+video)

on

Mzee wa Konki Liquid ambaye anafahamika kwa jina la Pierre ambaye ametrend sana mitandaoni hivi karibuni kutokana na vitu ambavyo vimekuwa vikiwafurahisha wengi kutokana na maneno yake ambayo amekua akiyaongea.

Sasa Pierre safari video zake zimefika Nigeria ambapo msanii Skales amempost katika ukurasa wake wa Instagram hii ni baada ya video ya Pierre kusambaa kwenye mitandao akiimba ngoma yake ya ‘Fire Waist’ aliyomshirikisha Harmonize.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama mzee wa Liquid alivyofika mappa Nigeria.

MADEE “DOGO JANJA NI MTOTO, ANAJENGA DAR, MAMA ALICHOKA KULIPA KODI”

Soma na hizi

Tupia Comments