Tangaza Hapa Ad

Behind the scenes: Video ya Dully Sykes ‘INDE’ ft Harmonize


Siku chache zilizopita nilikusogezea video mpya ya single ya Dully Sykes iitwayo INDE aliyoshirikishwa msanii kutoka WCB, Harmonize sasa leo wametuletea hii behind the scenes ya video hiyo kuona jinsi ilivyokuwa katika uandaaji wa video hiyo mpya.

Video hiyo mpya imetayarishwa na Director Hascana 

ULIIKOSA HII KILIVYOHAPPEN KWENYE BIRTHDAY PARTY YA RAYMOND WA WCB BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement