Video Mpya

VideoMPYA: This is America – Whozu (Cover)

on

This is America ni moja katika nyimbo zilizochukua headlines kwenye chart mbalimbali ikiwemo billboard kutokana na kile kilichobeba husika halisia wa nchi hiyo.

Sasa time hii tunae Whozu ni msanii kutoka Bongo Flevani ambae nae ametuletea cover ya wimbo huo ambayo ameupata jina la This is Tanzania.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama

 

Tupia Comments