Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Majibu ya Shilole kuhusu kurudiana na Nuh, pia Donjazzy kupost ‘chura’

on

Kupitia XXL ya CloudsFM leo January 31 2017 Gossip cop Soudy Brown ametuletea U heard inayomhusu Shilole na ni baada ya mke wa Nuh Mziwanda aitwae Nawali kudai kwamba Nuh na Shilole wamerudiana kutokana na kuonekana kufanya kazi kwa karibu sana. 

Sasa leo Soudy Brown amempata Shilole kuzungumzia hilo ambapo kabla ya kumuuliza ishu ya kudaiwa kurudiana na Nuh Mziwanda, Shilole akaulizwa kama ameisikia ya Mnigeria Donjazzy kujirekodi akiimba na kucheza ‘Chura’ ya Snura, ameyajibu haya…….

‘Kawaida mbona vitu hivyo, mbona sisi tunaimba vitu vyao, mara ngapi tunapost video za nyimbo zao mbona wao hawatusupport sisi’

Na alipoulizwa kama amerudiana na Nuh Mziwanda, Shilole aliyajibu haya…….’niache kidogo nawahudumia wateja, sio kweli, mnapenda kuninyanyasa sana’

Unaweza kubonyeza play hapa chini kusikiliza full Story

Ulikosa ya Shilole na mpenzi wake walivyohojiwa kwa Diva, mahaba Motomoto, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement