Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA: Madhara ya kimbunga kilichotokea visiwa vya Haiti

on

Mtu wangu nakusogezea taarifa hii kutoka visiwani Haiti. Wiki hii kuliripotiwa kutokea kwa kimbunga kikali kiliambatana na mvua pamoja upepo mkali ambao umevikumbuka visiwa hivyo. Kimbunga kilichopewa jina la Hurricane Matthew kimesababisha madhara makubwa kwa kuharibu miundo mbinu, majumba ya kuishi, watu wamepoteza maisha na wengine makazi ya kuishi.

Ripoti ya Umoja wa Mataifa, Kimbunga hicho kimeacha madhara kwa watu takribani 350,000 na kuirejesha Haiti kwenye kumbukumbu mbaya ya aina hiyo iliyowahi kujitokeza miaka sita iliyopita.

Mwakilishi wa UNICEF nchini Haiti, Marc Vincent amesema kimbunga Matthew ni kibaya zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini humo katika miongo ya karibuni na bila shaka madhara yake yatakuwa makubwa.

161006094748-haiti-11-super-169
161006095608-haiti-18-super-169

Kimbunga Mathew ambacho ndicho kubwa zaidi katika visiwa vya Carebean kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita, kimepiga taifa la Bahamas baada ya kupitia Haiti na Cuba.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linashirikiana na serikali ya Haiti na wadau wengine kusambaza vifaa vya usaidizi kwa waathirika wa kimbunga Matthew kilichopiga Haiti hii leo. UNICEF inasema misaada hiyo ni pamoja na vidonge vya kutakasisha maji na vya kujisafi, wakati huu ambapo watoto zaidi ya Milioni Nne wanatarajiwa kuwa wameathiriwa na zahma hiyo.

161006095757-haiti-19-super-169
161006121104-02-hurricane-matthew-haiti-1006-super-169
161006233511-03-hurricane-matthew-1006-haiti-super-169
161007073322-03-haiti-1007-super-169
161007073328-07-haiti-1007-super-169
161007073332-10-haiti-1007-super-169
161007073335-12-haiti-1007-super-169
161007081655-13-haiti-1007-super-169
0
1
2
4
5
6
7
8
12493fc2-b45a-43e3-b57a-ac11d817b29e-large16x9_hurricane1_ap
393103e000000578-3826209-image-a-16_1475842550827

Tupia Comments

Advertisement