PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

MAAMUZI YA MWITA WAITARA BAADA YA WAKURUGENZI KUKATAA KUTOA FEDHA KWA WALIMU

on

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) anayesimamia sekta ya elimu Mwita Waitara alikuwa mgeni rasmi katika semina ya wakuu shule za sekondari nchini ambayo inafanyika mkoani Dodoma ambapo katika hotuba yake Waitara alionesha kukerwa na taarifa za kwamba kuna baadhi ya Wakurugenzi wameshindwa kutoa fedha za kujikimu kwa walimu hao katika semima hiyo.

Agizo la DC Katambi kwa Wafanyabiashara wasiolipa kodi Dodoma

Soma na hizi

Tupia Comments