Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Alichoandika Jacquline Wolper baada ya Naibu Waziri kuita wasanii

on

Baada ya kuona Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza kuwataka wasanii ambao wamekuwa wakikaa nusu utupu katika mitandao ya kijamii na kwenye music videos zao kuwa wanahitajika kuripoti BASATA wakiwemo wasanii Gigy Money, na Sanchi.

Baada ya Pretty Kind kutangazwa kufungiwa miezi sita katika kazi yake ya sanaa  muigizaji Jacquline Wolper kupitia katika ukurasa wake wa instagram alipost picha ya wanawake wamevaa mabaibui na kuandika caption inayosema “Akuna namna dadekiiii mambo ya miezi 6 sitakiii” na baada ya muda mfupi kuifuta caption hiyo.

VIDEO: “HATAKIWI KUIMBA, WALA KUPOST CHOCHOTE KATIKA MITANDAO KWA MIEZI 6”- JULIANA SHONZA

Soma na hizi

Tupia Comments