Premier Bet

Habari za Mastaa

VIDEO ya TBT: Enzi za Vanessa Mdee aki-rap (Freestyle)

on

Leo January 11,2018 kupitia  mtandao wa instagram nimekutana na video ambayo ni TBT ya msanii  Vanessa mdee akifanya rap kupitia MTV Base, inawezekana wengi hawafahamu kama Vanessa mdee ana uwezo wa kurap cause wengi wamezoea kumuona akiimba bongofleva.

Ulipitwa na mahali itakapokuwa Radio na TV Station ya Diamond?

Soma na hizi

Tupia Comments