AyoTV

Ally wa Mlandege ahofiwa kuvunjika, Dr wa Simba atoa sapoti kakimbizwa hospital

on

Mchezaji wa Mlandege FC Ally Amdu alikimbizwa hospitalini baada ya kuruka juu na kutua vibaya akiukanyagia mguu wake katika game dhidi ya Simba, Ally Amdu anahofiwa kuvunjika mguu katika game ya Mapinduzi Cup 2019 dhidi ya Simba iliyomalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 1-0, unaweza kubonyeza PLAY kutazama alivyokimbizwa hospitali.

Mpenja katangaza goli kabla ya kona kupigwa, ataomba kutotangaza game za timu yake

Soma na hizi

Tupia Comments