AyoTV

Shabiki wa Yanga nusura amwage machozi hadharani Zanzibar

on

Moja kati ya watu waliyovutia uwanjani katika mchezo wa Yanga SC dhidi ya Malindi SC ni pamoja na shabiki wa Yanga ambaye almanusura amwage macho kadri muda ulivyokuwa unaenda akiona timu yake ipo nyuma, kwa bahati mbaya matokeo  hayakuwa mazuri kwa Yanga kupigwa magoli 2-1 na kumfanya shabiki huyo kuwa na wakati mgumu zaidi uwanjani hapo, unaweza kubonyeza PLAY kutazama ilivyokuwa.

Mbona Jonas Mkude hatumuoni Zenji? Meneja wa Simba kajibu

Soma na hizi

Tupia Comments