PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

Denzel Washington kutunukiwa tuzo ya heshima

on

Muigizaji wa Hollywood, Marekani Denzel Washington atakabidhiwa tuzo ya heshima ya ‘Life Achievement Award’ na taasisi ya filamu nchini humo ambayo ni  ‘American Film Institute’ zitakazofanyika June 6,2019.

Howard Stringer ambaye ni mwenyekiti wa bodi ya American Film Institute amesema kuwa wameamua kumkabidhi tuzo ya heshima mkongwe huyo kutokana na mchango mkubwa alioutoa kwa jamii ikiwa na kuwahi kuigiza filamu nyingi nchini Marekani.

Denzel Washington aliwahi kushinda tuzo mbili za Oscars mwaka 2008 na 2017, tuzo 9 za Academy kama muigizaji bora wa kiume na mpaka sasa anatajwa kuigiza jumla ya filamu 52.

RC Mongella awafungukia Mwanza Jiji “Wakamateni nyinyi ndo vinara wizi wa mtihani”

Soma na hizi

Tupia Comments