PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Sababu iliyomfanya mchezaji wa Yanga afungiwe miezi 14

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kwa afisa habari wake Clifford Ndimbo limetangaza kufungiwa miezi 14 kucheza soka kwa mchezaji wa Yanga SC Mohammed Issa ‘MO Banka’ kutokana na kuthibitika amegundulika kuwa ametumia dawa zisizoruhusiwa michezoni aina ya Bangi.

Banka baada ya uchunguzi wa maabara kufanywa na kamati ya kuzuia na kupambana na dawa zisizoruhusiwa michezoni ya kanda ya tano RADO, Banka amegundulika kuwa alitumiwa dawa za kulevya aina ya Bangi, Banka amefungiwa miezi 14 kuanzia December 14 2017 na atamaliza adhabu yake February  8 2019.
 Tazama video ya afisa habari wa TFF alivyoitangaza adhabu ya Mohamed Issa ‘Banka’

Da!!! Takwimu za Samatta Ligi Kuu Ubelgiji msimu huu ni hatari

Soma na hizi

Tupia Comments