DSTV


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Mambo matatu ya kufahamu kutoka Azam FC leo October 6

on

Ijumaa ya October 6 2017 afisa habari wa club ya Azam FC Jafari Iddi Maganga alifanya mkutano na waandishi wa habari na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu maendeleo na mipango ya Azam FC kipindi hiki ambacho Ligi imesimama.

Jafari Iddi amethibitisha kuwa Azam FC imekubali ombi la TFF la club yao kucheza mechi ya kirafiki na Ngorongoro Heroes weekend hii, lakini pia Azam FC imeweka wazi kuwa kwa timu yoyote itakayojitaji kutumia uwanja wao wa Azam Complex wafuate utaratibu.

Cristiano Ronaldo ameuza tuzo yake ya Ballon d’Or 2013

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement