Michezo

Timu imeenda Tanga leo, Mlipili kafukuzwa Simba? “Tuwabeze tu!”

on

Hivi karibuni kulikuwa na tetesi kuwa beki wa Simba SC Yussuf Mlipili ameamua kuikacha timu hiyo na kuamua kuondoka zake kwa madai kuwa amefikia maamuzi hayo baada ya Simba SC kutompa nafasi ya kucheza hata kukaa benchi.

Mlipili alidaiwa kuwa suala la kukaa nje ya uwanja na kukosa na nafasi ya kucheza na hata kukaa benchi linamuumiza, afisa habari wa Simba Haji Manara wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo alilizungumzia na kukanusha kuwa mchezaji huyo yupo pamoja na timu na hajafukuzwa wala Kuondoka.

Da!!! Takwimu za Samatta Ligi Kuu Ubelgiji msimu huu ni hatari

Soma na hizi

Tupia Comments