Biko Ad
CRDB Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Patrice Evra akivuta gari kwa mikono na kutoa maneno baada ya kufungiwa na UEFA

on

Shirikisho la soka Ulaya UEFA Ijumaa ya November 10 2017 lilitangaza kumuadhibu beki wa kimataifa wa Ufaransa anaeichezea Olympique Marseilleya Patrice Evra kwa kosa la kumpiga Shabiki wao wakiwa Ureno kwenye mchezo wa Europa League.

UEFA walitangaza kumfungia Evra kucheza mashindano yoyote ya UEFA hadi mwezi June 2018 kwa kosa la kumpiga teke shabiki, adhabu ambayo imepelekea Marseille wavunje mkataba na Evra lakini leo Evra amepost video Instagram ikimuonesha akivuta gari huko Dubai.

Wakati mwingine maisha unaweza kufikiri ni magumu sana lakini siku zote inatakiwa uishi na kutabasamu, naapa kwa Mungu nitarudi nikiwa imara zaidi ya ambavyo nimewahi kuwa usikubali kuwa mzembe nataka kuwa bora kuliko nilivyokuwa awali” – Patrice Evra

Taarifa rasmi kutoka Ubelgiji, Samatta atafanyiwa upasuaji

Soma na hizi

Tupia Comments