Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

BREAKING NEWS: Tamko la Mwananchi kuhusu mwandishi aliyepotea

on

Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd leo imeitisha mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia suala la mwandishi wao wa kujitegemea Azory Gwanda ambaye amepotea kwa siku ya 17 sasa na hakuna anayejua mahali halipo.

MAGAZETI: Lema aanika siri za Wema, Dr Shika mikononi mwa DPP

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement