PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

MSIBA WA MASOGANGE: Diamond, Belle 9, Wema, Vanessa, JB, Rayvanny wamlilia

on

Leo April 20,2018 simanzi kubwa umetawala kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva kupoteza video vixen maarufu Agnes Gerald “Masogange” na kwa upande wa mastaa ambao wameonyesha kuguswa na msiba huu ni pamoja na wanamuziki na waigizaji akiwemo Wema Sepetu, Diamond Platnumz, Barnaba, Steve Nyerere, Kajala, Rayvanny, JB na wengine.

MSIBA WA MASOGANGE: Belle 9 amezungumza cha mwisho walichoongea

Soma na hizi

Tupia Comments