Biko


Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Mwanamke kaangua kilio baada ya kugundua kapelekwa kwa mke mwenza, ilikuaje?

on

Kwenye Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo August 10, 2017 ni ishu ya mwanaume mmoja ambaye alisafiri kwenda Kigoma akimuacha mke wake na watoto ambapo baada ya kufika Kigoma kwa mwezi mmoja alirejea Dar es Salaam akiwa mke mwingine.

Mke mkubwa anadai kuwa mume wake alikuja na mwanamke ambaye alikuja kujua baadaye kuwa ni mke mwenza na kuwahudumia maji ya kuoga lakini baadaye mke mdogo aligundua mumewe alimdanganya kuwa hajaoa na kuanza kulia na kulalamika kwa nini aliletwa kwa mke mwingine lakini mke mkubwa alitumia busara kumbembeleza wakalale.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza FULLDTORY…

HEKAHEKA: Mume ataka kumchinja mkewe Kigoma, kisa..? (+Audio)

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement