PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

Swali lililomfanya muigizaji Steven Seagal kususia interview

on

Muigizaji mkongwe kutokea Hollywood Marekani Steven Seagal aliamua kunyanyuka na kuondoka katika interview baada ya kuulizwa swali na mtangazaji kuhusu masuala yake ya unyanyasaji wa kingono.

Katika mahojiano hayo Steve Seagal alionekana kukerwa na swali aliloulizwa na mtangazaji Kirsty Wark katika kituo cha Habari cha BBC kwenye kipindi cha NewsNight baada ya mtangazaji huyo kutaka kujua anakabiliana vipi na tuhuma hizo za unyanyasaji wa kingono .

Muigizaji huyo anadaiwa kuwahi kushtakiwa kuwafanyia baadhi ya wanawake vitendo vya ubakaji na unyanyasaji wa kingono kutokana na wanawake hao kutoa malalamiko kwa nyakati tofauti.

Krish wa Uwoya kaandika ujumbe wa wazi kumkumbuka baba yake Ndikumana

Soma na hizi

Tupia Comments