Habari za Mastaa

Mabibi na Mabwana Idris Sultan kazindua kiatu chenye jina lake leo !

on

Leo August 31 2017 Mshindi wa BBA AFRICA Idriss Sultan amezindua kiatu chake mwenyewe kiitwacho ‘‘SULTAN SHOES’‘ ambapo amekaa kwenye AyoTV na millardayo.com na kuongea kila kitu, kitapatikana wapi na ni bei gani.

Idris amesema wakati anawaza kutengeneza bidhaa zenye jina lake alitaka kuwa na bidhaa ya kipekee na ndio maana kaleta hivyo viatu ambavyo vinatengenezwa Ulaya na Asia ambapo bei yake inaanzia shilingi laki moja na nusu mpaka laki tatu….. zaidi ameongea kwenye hii video hapa chini

RED CARPET: Wema na Idris wamerudiana? mtu kashikwa mkono mwanzo mwisho… tazama hapa chini kutazama

VIDEO: Idris Sultan ajibu, ni kweli amerudiana na Wema Sepetu? bonyeza play hapa chini kumtazama

VIDEO: Wema Sepetu asema Alikiba na Diamond ni wendawazimu… bonyeza play hapa chini kumtazama

HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments