Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Idris na Lina walivyojiachia kwenye Birthday party ya Ben Pol


Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa mkali wa RNB, Ben Pol  alifanya Party yake September 8, 2016 akaalika wadau mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva.

Miongoni  mwa maswali yaliyokuwa yakiulizwa na mashabiki ni kuhusu ukaribu wa Idris Sultan kwa Msanii wa Bongo Fleva Lina Sanga, itazame hii video hapa.

ULIIKOSA HII YA WEMA SEPETU KWENYE USIKU WA BIRTHDAY PARTY YA DJ WA DIAMOND BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement