Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Msanii wa Uganda ‘Nilimlipa Saida Pesa akakataa, nilimpigia magoti kwa heshima’

on

Msanii kutoka nchini Uganda Hanson Baliruno ambaye amefanya nyimbo na msanii Mkongwe kutoka Tanzania Saida Karoli kwa pamoja wamezungumza kwenye Exclusive Interview na kuelezea kuhusu namna walivyokutana mpaka kufanya kazi kwa pamoja huku Hanson Baliruno akisema kuwa alimpa Saida Karoli pesa lakini alikataa.

Hata hivyo tulipomuuliza Saida kama ni kweli alikataa pesa ya Hanson, amesema ni kweli hakupokea pesa kwani anaamini mtu akimfuata na kumuomba wafanye kazi ni zaidi ya utu kwake kwani wapo wasanii waliowahi kutumia nyimbo zake bila hata ya kumsalimia.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama na kuwasikiliza Saida Karoli na Hanson Baliruno..

Saida Karoli alivyopanda kwenye stage na Nguo za Magunia Sauti za busara

Soma na hizi

Tupia Comments