Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Idris Sultan amechaguliwa ku-host tuzo za fashion Uganda (ASFA 2016)

on

Tuzo za ASFA  (Abryanz Style & Fashion Awards) ni tuzo zinazotolewa ili kutambua vipaji, juhudi  na kazi za wanamitindo nguli na bora Africa, zilizoanzishwa mwaka 2013. Mwaka huu mtanzania Idris Sultan amechaguliwa kuwa mtangazaji rasmi katika tuzo hizo zinakazofanyika Dec 9, 2016.

Idris alitumia ukurasa wake wa Instagram kueleza furaha aliyo nayo baada ya kupata taarifa ya kuwa host kwenye tuzo hizo.

Mwaka 2016 pia Idris Sultan alichaguliwa kuwania kutangaza katika tuzo za MTV Mama Awards ambazo hakushinda na  zilitangazwa na Bonang Matheba wa Afrika Kusini.

Hatimae upande wa Lady Jaydee waongea kuhusu Clouds>>>

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement