DSTV

Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Baada ya Lulu kuhukumiwa miaka miwili jela, Wakili wake aongea yafuatayo

on

Kauli hii ya Wakili wa Lulu imekuja baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania leo kumuhukumu Mwigizaji huyo miaka miwili kwenye kesi iliyokua ikimkabili ya kumuua Mwigizaji Steven Kanumba bila kukusudia.

Wakili wa Lulu Peter Kibatala amewaambia Waandishi kwamba baada ya Hukumu hiyo kutolewa, wapo katika mchakato wa kukata rufaa.

Lulu alikuwa akikabiliwa na kesi ya kumuuwa msanii mwenzake Steven Kanumba, April 7, 2012 maeneo ya Vatican Sinza jijini Dar es Salaam.

VIDEO: Mama Kanumba aangua kilio baada ya Lulu kuhukumiwa miaka miwili jela, aongea yafuatayo nje ya Mahakama, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

VIDEO: LULU LEO MAHAKAMANI KABLA YA KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement