Tangaza Hapa Ad

fB insta twitter

VIDEO: Mkuu wa Polisi Tanzania aongelea ishu ya dawa za kulevya iliyoibuka juzi

on

Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutaja orodha ya baadhi ya wanaotuhumiwa kutumia na kuuza dawa za kulevya,  Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu leo February 4 amezungumza kuhusu askari wanatuhumiwa kujihusisha na uhalifu huo.

Amesema hatua kadhaa zimeshachukuliwa ikiwemo kuwasimamisha kazi Askari hao na wanaendelea na uchuguzi kwa watuhumiwa wengine wakiwemo watu maarufu waliotajwa ili kuthibitisha tuhuma zinazowakabili.

Unaweza kutazama hapa chini alichozungumza IGP Mangu mbele ya Waandishi

Ulikosa? Paul Makonda kuhusu kilichoendelea na kinachofatia kuhusu dawa za kulevya, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement