Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Kangi Lugola kawajibu walionukuu vibaya kauli ya JPM


November 8, 2017 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola alisimama Bungeni kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kwenye nafasi hiyo ambapo kati ya maswali aliyoyatolea ufafanuzi ni pamoja na kauli ya Rais Magufuli kuruhusu watu kulima hadi katika vyanzo vya maji.

Ulipitwa na hii? Waziri Mwijage afunguka baada ya Rais Magufuli kumchallange kuhusu viwanda

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement