Habari za Mastaa

Calisah aibuka mshindi ‘Mr Africa 2018’ nchini Nigeria (+Picha)

on

Mwanamitindo maarufu Calisah amerudi kwenye headlines hii ni baada ya kuibuka Mshindi wa taji la Mr Africa International 2018 katika mashindano yaliyofanyika Lagos Nigeria siku ya December 2,2018.

Inatajwa kuwa Calisah ameweka rekodi kwa mara ya kwanza tokea mashindano hayo yaanzishwe hii ni baada ya kuwa mshindi pekee kutokea Afrika Mashariki. Mashindano hayo yalihusisha Wanamitindo mbalimbali kutokea mataifa tofauti Barani Afrika kama Sierra Leone, Afrika Kusini, Zimbabwe, Namibia n.k.

EXCLUSIVE: Billnass kafunguka ishu ya kumvalisha mchumba wake pete mwaka huu

Soma na hizi

Tupia Comments