Tangaza Hapa Ad

Mix

Niruhusu nikupeleke Ikulu kupitia hapa, nikuonyeshe jinsi walivyoapishwa leo.

on

03Leo January 20 2014 Ikulu Jijini Dar es salaam Rais Jakaya Kikwete aliwaapisha Mawaziri wapya waliotangazwa kwenye mabadiliko ya baraza la Mawaziri yaliyofanywa hivi karibuni.

02

01Picha hiyo ya kwanza na ya pili inamuonyesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu ambae yuko na mkewe Faraja Kotta pamoja na familia yake baada ya kuapishwa na kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.

003        Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Adam Malima kuwa Naibu Waziri wa Fedha.

004Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Charles Kitwange Naibu Waziri wa Nishati na Madini.

005Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Amos Makala kuwa Naibu Waziri wa Maji.
006Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Jenista  Mhagama kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

007Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Dkt. Pindi Chana kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.

008Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri wa Fedha.

009Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Juma Nkamia kuwa Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo.

10Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Mahmoud Mgimwa kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii.

 

Tupia Comments

Advertisement